Kituo hicho cha runinga kilisitisha kutumia wimbo wa Rihanna kutokana na jinsi alivyojihusisha kwenye skendo hiyo.
CBS
ilikuwa iendelee kuutumia wimbo huo hadi pale Rihanna, aliyekuwa mhanga
wa ukatili wa nyumbani mwaka 2009 kutoka kwa mpenzi wake Chris Brown,
kuwashutumu mabosi wa TV hiyo kwa kumuadhibu kwa kosa la mtu mwingine na kusisitiza kuwa hakutaka waucheze wimbo huo wiki hii.
Channel
hiyo imedai kuwa kwa kutumia wimbo huo isingekuwa inatoa picha nzuri
kwa skendo ya ukatili wa majumbani inayomkabili mchezaji wa Baltimore Ravens.
“CBS you pulled my song last week, now you wanna slide it back in this Thursday? NO, F— you! Y’all are sad for penalising me for this,” Rihanna alitweet.
“CBS you pulled my song last week, now you wanna slide it back in this Thursday? NO, F— you! Y’all are sad for penalising me for this,” Rihanna alitweet.
Rihanna alitweet maneno hayo kwakuwa wiki iliyopita baada ya kusimamishwa kwa Rice, CBS iliuondoa ufunguzi (uliokuwa na wimbo wa Rihanna) wenye wimbo huo kwaajili ya matangazo ya mechi za NFL na kuweka breaking news ya hatua hiyo na maoni kuhusu ukatili wa MAJUMBANI.
Kutokana
na Rihanna kuchukia kukatwa kwa wimbo huo, kituo hicho sasa kimedai
kuwa kimeamua kuutoa kabisa wimbo huo kwenye intro hiyo.
“Beginning this Thursday, we will be moving in a different direction with some elements of our Thursday Night Football open,” maelezo ya CBS Sports yamesema. “We will be using our newly created Thursday Night Football theme music to open our game broadcast.”
No comments:
Post a Comment