23 September 2014

NYIMBO YA DIAMOND "MDOGOMDOGO" YAONGOZA KWA WIKI KUMI SASA KWA KUSIKILIZWA KWENYE MARIMBA MUSIC CHART


Haya ndio maneno aliyoyasema Msanii Diamond

Nawashkuru sana kwa kuifanya Mdogomdogo kuwa nyimbo namba moja inayoongoza kwa kusikilizwa sana kwa Wiki 10 Mfululizo.....

Kitu kimoja tu nnachoweza kuwahakikisha ni kuwa daima nitaendelea kujituma, kuwamtiifu na kuhakikisha nawapatia burudani nzuri itayoleta sifa na heshima Nyumbani..... Asanteni sana

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname