23 September 2014

MSHIRIKI WA PILI MWANAMKE ATAJWA KWENDA BIG BROTHER AFRIKA



M-Net wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.

 
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
 
kuangalia akijieleza.
 
Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname