21 September 2014

Martin Kadinda Aweka Picha ya Geto Lake Kudhibitisha Ana Maisha Mazuri na Wala Haishi Kwa Wema


Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza.

 
Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname