MUIGIZAJI mwenye
mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael
Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent
‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke na ushindi aliopata bali
azingatie masomo.
Akizungumza na Ijumaa juzikati, Lulu
alisema ni kweli binti huyo ana kipaji na ilikuwa haki kushinda milioni
50 ila ajue bado ni mtoto na anatakiwa kukomalia elimu.
No comments:
Post a Comment