| Wolper |
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote" alisema Wolper akizungumza na Globalpublishers pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.
No comments:
Post a Comment