September 17 2014 mwigizaji Jackline Wolper aliweka kwenye
page yake ya Instagram picha ya mwigizaji mwenzake Lucy Komba alieolewa hivi
karibuni na raia kutoka nje ya Tanzania na kuandika masikitiko yake ya
kushindwa kuhudhuria harusi hii.
Wolper aliandika ‘Tukio lililoniuma ni kutohudhuria katika
furaha ya milele ya my dada kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu‘
ambapo baada ya post hiyo baadhi ya followers wa Wolper walianza kutukana
kwenye comments na kukosoa mavazi ya Maharusi kama unavyoona hapa chini.
No comments:
Post a Comment