Mwanamke
huyo, alikuwa anamtembeza Mbwa wake katika mtaa wa Whitstable, Kent,
wakati jambazi huyo alipomvamia. Alikuwa amevalia mavazi meusi
yaliyokuwa yamefunuika kichwa chake.
Alipigana na jambazi huyo na kumgonga kinywani. Polisi mjini Kent wanasema kuwa wangali wanamsaka jambazi huyo.
Afisaa mkuu wa polisi katika eneo hilo alinukuliwa akisema:
Inaonekana mshukiwa huyo alimlenga mtu asiye wa kiwango chake.
Shambulizi
hilo lilifanyika wakati wa usiku Afisa mkuu wa polisi pia amewataka
wakazi wa eneo hilo kutoa habari kuhusu tukio hilo.
aliongeza kusema afisaa huyoje unamfahamu mtu yeyote ambaye alikuwa nje wakati wa usiku wakati ajuza huyo alipovamiwa na kurejea nyumbani akiwa na jereha kinywani? Tafadhali tunawaomba mtusaidie na uchunguzi wa kisa hiki
No comments:
Post a Comment