26 September 2014

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOMTOA MACHOZI MENINAH,..WEMA AMSAKA MENINAH USIKU NA MCHANA.



YALE madai kuwa sexy lady wa Bongo Fleva aliyeibukia kwenye Shindano la Kutafuta Vipaji la Epiq Bongo Star Search 2012, Meninah Abdulkareem ya kutaka kuolewa na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yamemtoa machozi mwanadada huyo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname