"HII INAUMA,JAMAA WAKUTWA HAWANA HATIA BAADA YA KUFUNGWA JELA KWA MIAKA 30"
Vipimo vya vinasaba vilionesha ndugu hao
wawili,ambao wana matatizo ya akili pia walikua ni vijana wadogo chini
ya umri wa miaka 20,walioingia hatiani kimakosa tangu 1983.Wawili hao
waliachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka 30 ikiwa ni sawa na
Miongo mitatu,jela kwa kesi ya Ubakaji na Mauaji ya binti wa miaka 11
baada ya ushahidi kuwekwa wazi kupitia vipimo vya vinasaba.Machungu na
manung'uniko yao hayatakwisha kamwe.
No comments:
Post a Comment