Staa
wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea Uwanja wa ndege.
Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho,
lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja
kimahaba eneo hilo.Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.
Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt
kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona
wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? Jamaa
aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani
Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.
Aunt Ezekiel na Moses Iyobo wakiagana Uwanja wa ndege.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo
ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao
ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa
mwaka jana ndipo alipomkimbia.“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda
alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka
2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na
furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.
Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.
“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote
tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona
anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao,
akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka
No comments:
Post a Comment