Takribani wiki sasa kumekuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu hayuko sawa katika mahusiano yake ya kimapenzi na nguli wa Bongo Fleva, Diamond Plutnumz….
Rafiki huyo amedai kuwa mara kwa mara Wema amekuwa akijiuliza sababu ya kuandikwa taarifa mbalimbali zisizo na kichwa wala miguu ambapo mwisho wa yote hupata jibu ni kwa sababu ya kuwa na mahusiano na Diamond….SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment