12 August 2014

SAKATA LA MUME KUMPA MIMBA MBWA, MAPYA MENGINE YAIBUKA

Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma. 
LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majhe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, Uwazi limeyanyaka. 
Ijumaa iliyopita, Uwazi lilifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo katika mchakato wa kufuatilia madai ya mke wa mtuhumiwa huyo kisha kumpandisha mahakamani kujibu mashitaka ya kumdhalilisha mnyama huyo.
Mbwa anayedaiwa kupewa mimba na Bw. Hamis Juma.
“Sisi ishu yetu si kufuatilia kama kweli amempa mimba bali ni kujiridhisha kama kweli yule mzee ametembea na mbwa hilo linatosha kabisa kumfikisha kortini,” alisema afisa huyo na kuomba jina lake lisichapishweSoma zaidi>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname