kuna mengi kiasi kwamba kama mama umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao.Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata ya Bangwe mkoani Kigoma yupo ndani ya mateso makubwa yanayomfanya kulia muda wote kutokana na maumivu makali anayoyapata kwa ugonjwa wa kansa unaotafuna macho yake hivyo
kumfanya asione.
HISTORIA YAKE
Akizungumza na Uwazi akiwa katika masikitiko makubwa
nyumbani kwa ndugu yake, Manzese jijini Dar, bibi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Elda Charles Rweyemamu, mjukuu wake huyo alizaliwa akiwa hana tatizo lolote lakini alipofikisha umri wa miaka miwili na nusu akapatwa na ugonjwa wa mtoto wa jicho upande wa kushoto. ENDELEA HAPA
No comments:
Post a Comment