05 August 2014

MSICHANA ALIYEPIGWA NA MTOTO WA RAIS OBAMA ATOA KAULI YA KUSHANGAZA

 
Mtoto wa kike wa rais wa  Marekani, Maria Obama mwenye umri wa miaka 16 alimpiga/alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la Lollapalooza nchini Marekani. 
Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa sana na tukio hilo  kutokana na umaarufu wa Malia Obama.
Truskey ametweet sentensi kadhaa kuonesha furaha yake huku maelezo yakionesha kuwa haamini kilichotokea.
“I got (accidentally) kicked by Malia Obama today at Lollapalooza. No lie. Malia. Obama. It was awesome. #lollapalooza.”
Ni kweli msichana huyo ana sababu ya kufurahi kwa kuwa amekuwa maarufu pia kupitia tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname