12 August 2014

Lil Wayne Ajitangaza Hadharani Kuwa Yeye ni Mwasiriki wa Virusi vya Ukimwi



Lil Wayne Ataingia katika Orodha Ya Mastaa Wanaoishi na virusi vya Ukimwi Akiwemo Gwiji wa Mpira wa Kikapu Magic Johnson.

Katika Ukurasa Wake wa Tweeter Ameandika Hivi:


"Its Time to tell my Fans aka my family. I tested positive for HIV. But i Wont Let it Get the Best of me#Young"

Akiwa na Maana kuwa Ni muda muafaka sasa wa Kuwaambia mashabiki na familia yangu kuwa Nimepima HIV na Kukutwa ninao. lakini Sinta kubali uchukue Mazuri yangu



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname