Bilionare maarfu kutoka
hapa Africa ajulikanaye kwa jina la Femi Otedola kutoka Nigeria amefanya
kufuru kwenye graduation ya mwanaye ajulikanaye kama Dj Cupppy ambapo
Thamani ya pesa aliyotumia ni sawa na kiasi cha kuwasomesha watoto
watano kutoka Kindergarten mpaka Elimu ya chuo kikuu sasa kama hii ni
graduation Ndoa yake itakuwaje,Binti huyu alikuwa akisoma chuo cha Kings’ College kule London ambapo ameachia album yake mpya ijulikanayo kwa jina la House of Cuppy picha zingine hizi hapa
No comments:
Post a Comment