24 August 2014

HII NDO FIRST ELEVEN YA TIMU YA YANGA

Panga pangua, hii ndio Yanga mpya

HII ni siri usimwambie mtu yeyote, uchune nayo hivyo hivyo kwa vile bado Marcio Maximo hajaweka wazi kikosi chake cha kwanza lakini tathmini ya Mwanaspoti imekibaini.

Kwa mujibu wa mazoezi yaliyofanyika Dar es Salaam na hapa Pemba jumlisha na mechi ya kirafiki waliyocheza, ‘First Eleven’ ya Yanga itakuwa kama ifuatavyo;

Kipa ni Deo Munishi ‘Dida’ kama kawaida na Juma Abdul atacheza beki ya kulia. Kushoto ni Oscar Joshua lakini Edward Manyama na Amos Abeil anaocheza nao nafasi moja ni hatari sana, Maximo anaweza akawatumia kwa kuchanganya kulingana na timu pinzani.

Kwa undani zaidi soma: http://www.mwanaspoti.co.tz/Soka/Panga-pangua--hii-ndio-Yanga-mpya/-/1799484/2428236/-/yd4lf5/-/index.html
Panga pangua, hii ndio Yanga mpya
HII ni siri usimwambie mtu yeyote, uchune nayo hivyo hivyo kwa vile bado Marcio Maximo hajaweka wazi kikosi chake cha kwanza lakini tathmini ya Mwanaspoti imekibaini.
Kwa mujibu wa mazoezi yaliyofanyika Dar es Salaam na hapa Pemba jumlisha na mechi ya kirafiki waliyocheza, ‘First Eleven’ ya Yanga itakuwa kama ifuatavyo;

Kipa ni Deo Munishi ‘Dida’ kama kawaida na Juma Abdul atacheza beki ya kulia. Kushoto ni Oscar Joshua lakini Edward Manyama na Amos Abeil anaocheza nao nafasi moja ni hatari sana, Maximo anaweza akawatumia kwa kuchanganya kulingana na timu pinzani.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname