HATARI SANA: FIESTA MWANZA 2014...WAFAHAMU MASTAA WATAKAOPANDA STEJINI HAPA...!
Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye
uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii hapa chini ni list ya
wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
- Diamond Platinumz
- Shaa
- Mkubwa na Wanae
- Young Killer
- Ney Wa Mitego
- Mr Blue
- Linah
- Makomando
- Madee
- Young Dee
- Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko.
No comments:
Post a Comment