Leo ni siku ya kuzaliwa ya rapper toka Mwanza, Fid Q na ameamua kuachia wimbo wake ‘Bongo Hip Hop’ aliomshirikisha P-Funk Majani katika kusherehekea siku hiyo.
Wimbo huu umetayarishwa na Majani ndani ya Bongo Records na utakuwa sound track kwenye documentary ya rapper huyo aliyoipa jina la ‘Bongo Hip Hop’
No comments:
Post a Comment