12 August 2014

Diego Maradona ampiga kibao mwandishi wa habari


Mchezaji wa zamani wa Argentina aliyeacha historia kubwa katika ulimwengu wa soka, Diego Maradona amempiga kibao mwandishi wa habari mbele ya umati huku kamera zikichukua tukio zima.

Imeelezwa kuwa Maradona alichukizwa na kitendo cha mwandishi huyo kumtolea maneno machafu mkewe wa zamani.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname