25 August 2014

DENTI DARSA LA 7 ABAKWA NA MUUZA GENGE DAR!

Denti wa darasa la saba aliyebakwa na muuza genge anayefahamika kwa jina la Juma Athumani (30)

 Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe, Mbagala kwa kosa la ubakaji wa denti wa darasa la saba. Habari za kiintelijensia zilidai kwamba mtuhumiwa huyo ambaye ni muuza genge, alitenda kosa hilo Agosti, mwaka huu ambapo denti huyo alikuwa ametumwa na mama yake gengeni.Ilisemekana kwamba jamaa huyo alimuomba denti huyo wazungumze kidogo ndipo akampeleka gesti kwa lazima. 

Akizungumza na gazeti hili bora la habari za mastaa na kijamii, denti huyo alisema kuwa alipofika gesti, jamaa huyo alilipa fasta na kumvutia chumbani ambapo alianza kumshika ‘manido’ kisha akamtupia kitandani na kumwingilia kimwili bila ridhaa yake.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname