Stori
nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili
nakumbuka ilikua December 6 2013 ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya
Kiswahili kwenye page yake ya instagram kumuenzi Mzee Mandela baada ya
kifo ambapo baada ya kumsifia aliandika mwishoni ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii
picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuandikia hashtag ya
#SIMBA.
No comments:
Post a Comment