Msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya
filamu nchini, Alice Bagenzi 'Rayuu' amesema amekuwa akisikia
maneno ya chinichini kwamba ameenda Sumbawanga Kuroga....
Tetesi hizo za Rayuu kwamba ameenda Sumbawanga kuroga zimeanza kuvuma baada ya watu kuhoji kuwa jina lake linaonyesha yeye ni Mhaya, lakini chakushangaza amekuwa akienda Sumbawanga mara kwa mara....
Mpekuzi iliamua kumtafuta mrembo huyo ambaye amekuwa akiandamwa na kashfa ya kutembea na waume za watu na kusambaza picha za utupu ili kujua ukweli wa mambo ambapo msanii huyo alifunguka kuwa:
"Nawashangaa sana watu wanaosema nimekuja Sumbawanga kuroga, sio kweli, huku nimekuja kusalimia.Naipenda familia yangu ndo maana nimeitembelea na ntakaa kwa muda huku kwani huwa nai miss sana nikiwa Dar"

No comments:
Post a Comment