16 July 2014

Picha,Floyd Mayweather Amnunulia Mpenzi Wake Hili Gari La Kifahari Kwenye Birthday Yake.

mayweather 
Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani kupitia mchezo wa ngumi na udhamini wa makampuni tofauti. Pia Floyd ni star anayependa kuonyesha matumizi ya pesa zake nyingi kama alivyofanya kwenye siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake ‘ Doralie’ aka Bad Medina. Flody amemnunulia gari aina ya Phantom Rolls Royce kama zawadi ya Birthday yake.
15 6 7

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname