08 July 2014

NEWZZZ.....BOMU... BOMU ...BOMU LALIPUKA NA KUUA WATU ARUSHA

Taarifa zilizotufikia za kusikitisha zinasema kwamba kumetokea mauaji katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini). Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname