Lisebule heheyaaaaa
Tenaaaa
Mmeona eeeh
Wema,Zamaradi na Snura
Shurti kwa ji Kaunta
Mbona kama.....au hii dera tu,hahahahahahahahaha
Hii ni kwa ajili ya kwendea sokoni hahahaha,msinisonye jamani
Ndiga zake hizi hapa
Yes
ni maeneo ya Kijitonyama ndipo anapoishi my gal Wema sepetu,ndio hata
kama amepanga lakini si ndio nyumbani kwake jamani,hahahahahah haya basi
mtuonyeshe na nyie za kwenu hahahaha mmenuna eeeeh
No comments:
Post a Comment