16 July 2014

-HII NDO JEURI YA PESA....KAJALA AMFANYIA BONGE LA BIRTHDAY MTOTO WAKE

  Keki ya bethidei ya Paula.

Kajala akitoa msaada kwa watoto wa kituo hicho.
   Mkuu wa shule hiyo, Simon Milobo, akifurahia zawadi  hizo. Kushoto ni Kajala Masanja.
Milobo akiwapanga wanafunzi wake.
    Paula akikata keki.
  Milobo akitoa usia kwa Paula.
Kajala akizungumza jambo katika shule hiyo ya watoto walemavu.
Waigizaji Odama, Chuchu Hans na Kajala wakijadili jambo.
  Paula na mama yake wakiandaa zawadi.
    Watoto walemavu wakilishwa keki na Paula.
Quick Racka akiwa na Steven Nyerere.
Wanafunzi wakiimba na wasanii.
  Watoto walemavu wakionesha vipaji vyao.
(Picha: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima / GPL)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname