28 July 2014

HAYA NDO MADHARA YA KUVAA WIGI SHUHUDIA MWENYEWE HAPA ..KILICHO MTOKEA HUYU DADA

article-2590565-1C9B48A700000578-713_634x455 Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua mazara yake.Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususani kansa. 



Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname