Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda
amesema
kuwa amekuwa akikutana na changamoto
kutoka
kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni
shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa


kumtaka kimapenzi.
“Kila mtu anakuwa na maswali yake anaya-raise
kutokana na anacho kifikiria katika akili yake,
Watanzania tunatabia ya ku-create situation
katika
akili zetu halafu we want everybody to accept.
Kwamba mtu tu anaamka asubuhi may be ana
matamanio na wewe anaanza ku-raise hilo swali
aone jibu litakuwa ni nini. Wapo wengi
(wananitamani) wako hivyo, facebook, Instagram
mtu atakutumia namba yake, hakwambii lakini
unaona kabisa huyu, nakukubali sana I wish siku
moja uje nyumbani kwangu au can I come to
your
place, mimi sitakagi hata kwenda huko najua
nitajiuliza imekuaje mpaka imefikia hivi, basi
nasema sawa. Kwa sababu mimi facebook
nakuwa
mkweli sijawahi kujibu mtu tangu 2012, I have a
person huwa anazipitia, akiulizia mtu maswala
modelling mpe namba ya fulani, mambo mengine
binafsi usiwajibu achana nao, kwa sababu mara
ya
kwanza nilikuwa ninadhani I should meet these
people talk to them this is not right but nikaona
unapoanza kuwa unajihusisha ndipo unapojikuta
unaanza kuingia bila kujua” Martin Kadinda
aliambia
Sporah Show.
Pia Martin amesema kuwa anampenzi wake
ambaye
hapendi kumuweka wazi ili kulinda heshima
yake.
“Ukishakuwa maarufu na mtu wa karibu yako
atakuwa maarufu, she’s not already kwa hiyo
kitu
yakuingia kwenye hiyo cycle kila siku
wanamuona
kwenye magazeti kwenye Instagram haiko hivyo.
Ndiyo maana hata nikiweka picha yake
Instagram
nitaweka picha yake moja kwa miezi sita, yupo
hata
ukitaka kumuona kwenye Instagram yangu yupo,
first lady wa martin huyu, lakini cycle yake na
maisha yake siyo mtu wa kukaa kwenye media
nadhani ni kwa sababu ya future ya kazi
atayokuja
kuifanya kwaiyo anajitaidi kuwa pembeni… Mara
ya
kwanza alishawahi kuniuliza alipita kwenye
comment za watu kwenye blog fulani akasoma,
akaniambia najua hii ni Watanzania walivyo, as
long
nakutambua mwanaume wangu ni mtu wa
namna
gani I don’t care about these people” Alimaliza
Martin