08 July 2014

HATIMAYE KAKA NA MENEJA WA P-SQUARE NAYE KUVUTA JIKO MWEZI HUU...!

 
Jude “Engees” Okoye akiwa na mpenzi wake Ify Umeokeke.
MENEJA na kaka wa P-Square, Jude “Engees” Okoye anatarajia kufunga ndoa ya kimila na mchumba wake, Ify Umeokeke mwezi huu.

Wapenzi hao ambao walivishana pete Aprili 24 wakati wa bethidei ya Jude pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni.
Ndoa yao inatarajiwa kufungwa Nnewi, Anambra nchini Nigeria

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname