10 July 2014
HAKIKA HUYU NDO MSANII WA BONGO FLEVA MWENYE SAUTI YA AJABU ...NA MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU
HUYU SI MWINGINE BALI NI MWANAMUZIKI WA
MIONDOKA YA KIZAZI KIPYA AITWAYE ALLY KIBA,HUYU NI MSANII TUNAYE WEZA
KUSEMA NI WA KIPEKEE KWA HAPA TANZANIA KUTOKANA NA KUWA NA KIPAJI CHA
KHALI YA JUU HASA SAUTI YAKE TU INATOSHA KUDHIHIRISHA KUWA NI
MWANAMUZIKI HASWAA..MTANDAO HUU WA THE CHOICE ULIWEZA
KUFANYA UTAFITI NA KUONA HAKIKA ALLY KIBA AKISHILIKISHWA KILA NYIMBO
HUFANYA VIZURI PIA HUWA NA VIONJO AMBAVYO HAVIMKINAI MTU YEYOTE KUWEZA
KUUSIKILIZA WIMBO HUO AMA KASHIRIKISHWA AU KAIMBA MWENYEWE.TIMU NZIMA YA
THE CHOICE INAMTAKIA KILA LA KHERI MSANII ALLY KIBA KATIKA KAZI ZAKE ZA
MUZIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment