15 June 2014

YANI LAITI NINGEJUA NISINGEOA MAISHANI MWANGU...KWA KIVUPI NAJUTA

Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. 
Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname