12 June 2014

VIDEO: JEURI YA PESA..JIONEE MAISHA ANAYOISHI K-LYININ AFRIKA YA KUSINI

Daah kama unavyojua tena kwenye BLOG hii itikadi yetu nikukuletea Mastori ya WAREMBO tu..yaani watoto wenye Maumbo Mazuri Mazuri aka MIZIGO...hehhe namkumbuka Sheikh wangu mmoja mzee wa MIZIGO...maarufu kama KIPOOZEO (nadhani wengi tunamfahamu...kamtafute YUTYUBU) BACK TO THE TOPIC: Mwanamama K-LYININ kama mnavyojua kwasasa haishi hapa BONGO (wambea wa mjini wamenipa habari hizi) makazi ameyahamishia huko kwa MADIBA yaaani SOUZI AFRIKA...leo jionee Mahali anapoish
 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname