Zembwela na Dullah wakifanya yao kwenye jukwaaa ndani ya mwanza
Rich Mavoko na dancers wake wakiwa back stage
Rich Mavoko akikamua vya kutoshaaaa jukwanii jana kwenye uwanja wa Ccm Kirumba
Vannesa mdeee akionyesha umahiri wake wa jinsi ya kulitawala Jukwaa
Mbeya Boya "Izzo B" akikamua vya kutoshaaa jana ndani ya ccm kirumba Mwanza
Fid Q akikamua na staili mpya kwenye jukwaa la Killi ndani ya Mwanza
Zembwela,Dullah.Mwasiti na wengine wakifurahia mziki mzuriiiiii Vannesa Mdee na Fid Q wakiwa Back Stage
Zembwela,Dullah.Mwasiti na wengine wakifurahia mziki mzuriiiiii Vannesa Mdee na Fid Q wakiwa Back Stage
No comments:
Post a Comment