18 June 2014

Rihanna aonyesha Mapenzi wazi kwa Mchezaji wa Ghana Kevin-Prince Boateng...ona alichokiandika kwenye twitter hapa

 http://lascandaleuse.com/wp-content/uploads/2014/06/rihanna-Kevin-Prince-Boateng-twitter-La-Scandaleuse-cover.jpg
Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.
Kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo anayekipiga pia FC Schalke 04, alijikuta akiwa shabiki wa Ghana ilipokuwa ikicheza na Marekani jana.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1. 
http://2.bp.blogspot.com/-E139v43Vi1s/U5_4p-JXdnI/AAAAAAAACS0/PiA3hHTUJpU/s1600/IMG_20140617_091257.jpg

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname