30 June 2014

RECHO BALAA AACHIA PICHA ZA UTATA NA KUZIWEKA KWENYE MTANDAO


HIVI NI KWAMBA MASTAA WAKIHISI KUWA HAWAONGELEWI NJIA PEKEE YA KURUDISHA UMAARUFU NI KUTUPIA PICHA ZISIZOKUWA NA MAADILI MTANDAONI?



HIVI PUNDE MSANII RECHO AMEWEKA PICHA AMBAZO KIUKWELI HAZINA MAADILI KWANI ZINAACHA SEHEMU KUBWA YA MWILI WAKE UKIWA HAUJAFUNIKWA KABISA, PICHA HIZO AMBAZO MAPAJA YOTE YAKO NJE ZIMEPONDWA SANA NA MASHABIKI AMBAO WAMEONYESHA KUTOKUBALIANA NAZO KABISA PICHA HIZO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname