Katika Harakati za Ney wa Mitego kuonesha Mali zake ambapo juzi ametuonesha gari lake aina ya Murano lenye Thamani ya Milion 36, Jana ameonyesha nyumba yake mpya yenye Thamani ya Mil 170 ambayo ipo Maeneo ya Kimara , Katika tukio
hilo
la kuonesha nyumba pia alimsuprise mpenzi wake Siwema Ambae alikuwa
hajui Kama anajenga ambapo kitendo hicho kilimfanya Siwema Atokwe na
Machozi ya Furaha ....
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini
Angalia Picha hizo za Nyumba yake Mpya hapa Chini
No comments:
Post a Comment