Halima Jumanne (20) akiwa na mwanaye mzigoni katika baa moja (jina limehifadhiwa) iliyopo Buza Kanisani jijini Dar.MSICHANA aliyejitambulisha kwa jina la Halima Jumanne (20) amejikuta akiuza baa huku akiwa na mtoto wa mwaka mmoja na nusu ubavuni kisa kikidaiwa hali ngumu ya maisha.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 2, mwaka huu kwenye baa moja (jina kapuni) iliyopo Buza Kanisani jijini Dar na kunaswa na Opareseheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers.
Awali ilidaiwa kuwa msichana huyo alifika kwenye baa hiyo akiomba kazi ya ubaamedi huku akiwa amembeba mtoto wake huyo.
No comments:
Post a Comment