Mshambuliaji huyo wa Manchester United alifanyiwa kejeli kwa kutengenezewa picha ambayo anaruka juu ya Brazil.
Kocha
wa Uholanzi, van Gaal pia alipewa heshima ya kuwa mkombozi baada ya
kuifunga Hispania mabao 5-1 na alitengenezwa kama sanamu ya Yesu kristo
mkombozi.
Van Gaal ataiongoza Manchester United baada ya kombe la dunia na matokeo ya jana hayajamshangaza gwiji Ryan Giggs.
Akizungumza
na South African TV, Giggs atakayekuwa msaidizi wa Van Gaal msimu ujao,
alisema: `Ulitegemea nini? ni kocha wa Man United`.
Van Persie akipaa angani na Peter Pan, Wendy na marafiki (picha za kutengeneza)
Mshambuliaji wa Uholanzi Van Persie ametaniwa na kutengenezewa picha akipaa katika anga la Rio
Mshambuliaji wa Uholanzi akiruka staili ya chura
Mkombozi: kocha wa Uholanzi Louis Van Gaal alitengenezwa kuwa mfalme wa Brazil
`Jicho hilo`: Mholandi, Bruno Martins akimtazama mchezaji wa Hispania uwanjani
No comments:
Post a Comment