Jamany so sweat, kingzion mashaalah kamekuwa hako, haya kwa wale ambao
walikuwa hawamfahamu vizri mtoto wa dinamarios leo hii mtandao wa
makubwa haya tumeamua kuwaletea hapo juu ili mumuone, kiukweli mama
utamwambia nin kuhusu mtoto? Haya guys umebaki wew na mimi fanya na wewe
umshkishe mimba au ushkishwe mimba na wew uskie utamu wa kuitwa mama ,
haya hongera sana staa dinamarios i hope soon utamtaftia mdogo wake si
ndio eeh.
No comments:
Post a Comment