16 June 2014

DIVA WA CLOUDS ASHAMBULIWA TENA HUKO INSTA... MASHABIKI WAMPONDA BAADA YA KUEDITI UMBO LAKE


Katika Hali Isiyo ya kawaida kuna baadhi ya watu ama Vikundi Instagram wameanza kumchimba Diva Loveness Baada ya Kujitoa Team Wema, Sasa leo wamekuja na Mpya na Kusema kuwa Diva anajiongezea makalio kwenye picha zake kwa kutumia Photoshop, na Wameenda mbali zaidi na kutoa ushahidi wa baadhi ya Picha jionee mwenyewe hapo chini na Ujudge mwenyewe kama ni kweli ama la kwa kuziangalia hizo Picha:BOFYA KWA PICHA ZAIDI >>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname