DIAMOND THE PLATNUMZ AAMUA KUFANYA KOLABO NA MAFIKIZOLO
Haya another step kwa msanii diamond the platnumz, last nyt mtandao wa
makubwa haya blog umepokea habari kupitia wadau na mashabiki wake ,
yakuwa msanii diamond the platnumz tayari ameshafanikiwa kufanya collabo
na wasanii wanaounda kundi la mafikizolo, soon audio track itakuwa
released okay gud for diamond the platnumz keep it up bro hiyo ni step
nyingine kubwa kwako.
No comments:
Post a Comment