Wazee wa mgomo: Wacheaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la
Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya
kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka
nchini kwao jana.
Alex Song akiteremka kironga ronga sikioni Samuel Eto'o akishuka kwenye ndege tayari kwa safari ya kambini kwao
No comments:
Post a Comment