11 June 2014

Breaking Newzzz......Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari


Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs **huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada
. * *Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH* *NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi* *30.* *Ndipo walipoanza kushambulia kwa risasi **askari wengine na kufanikiwa kupora SMG ya pili na risas

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname