MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli
ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao
wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus.
Mchezaji huyo mtata wa AC Milan
amethibitisha hilo katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuposti picha
ya mkono wa mpenzi wake huyo ikiwa na pete ya uchumba jana jioni.
No comments:
Post a Comment