28 May 2014

WATUHUMIWA WALIOMFICHA MTOTO KWENYE BOKSI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Mtuhumiwa Mtonga Omari akitoka mahakamani huku mikono ikiwa kichwani akijutia Unyama anayodaiwa  kumfanya mtoto huyo wa marehemu shemeji yake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Said.Watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  mjini Morogoro, kujibu mashtaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto huyo.watuhumiwa hao waliofikisha mahakamani hapo chini ya Ulinzi mkali ni Rashid Mvungi (47), washtakiwa wengine katika kesi hiyo iliyovutia umati wa watu wa mji wa Morogoro ni mama mlezi wa Nasrah, Mariamu Said (38) na mume wake Mtonga Omar (30).

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname