04 May 2014

VIDEO YA WASANII ...SAUTI SOL TOKA KENYA...INAGOMBEWA KAMA NJUGU YOUTUBE BAADA YA KUFUNGIWA...


Mpaka sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara laki moja na elfu 30 kwenye mtandao wa Youtube toka ianze kuonyeshwa April 29 2014 ikiwa ni video ya kipekee na ya kiwango kingine cha juu tofauti na ilivyozoeleka kwa Sauti Sol.
Mtandao wa Kenya ghafla.co.ke umeripoti kwamba imefahamika video hii imezuiwa

kuchezwa kwenye TV stations mbalimbali za Kenya kwa sababu imevunja maadili. 

Kwenye Mdundo Awards jana usiku Bien Aime wa Sauti Sol alisema mwanasheria wao anashughulikia ishu ya kufungiwa kwa video yao ambayo imeambiwa inachochea ngono kutokana na uwazi wa wanaookenana ndani yake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname