29 May 2014

MASTAA WA BONGO NA CHENI ZA ENGLISH GOLD


Mastaa wa bongo na english gold, sasa hvi habari ya mujini ni cheni na breslet za english gold, silver tupia kule, yaani unaambia kwa nchi ya Tanzania kila staa awe wa muziki au wa bongo movie ukimuangalia shingoni au mkononi lazma utakutana na madeni hayo, duuh kwa mtandao wa makubwa haya blog umejiuliza wat is da secret behind, duuh mshkaji leo kanichekesha sana anasema inabidi tutembee na ndimu mkononi halafu ukikutana na staa unaipiga cheni ndimu kuhakukisha kuwa ya ukweli au ya uongo? Haha too bad but mwisho wa kila mtu ana roll model wake, so wadau n all staaz fanyeni yenu coz mwisho wa siku is all about fashion.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname