Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee
ambapo hiki ndicho

Soudy Brown alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
No comments:
Post a Comment